Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2017

Lyrics

Nije Vipi - Rose Muhando

...

lyrics synchronised by Phellow 254790511905

****verse1****

Lakini habari imeenea kote

ya kwamba kwenu ninyi kuna zinaa mbaya

zinaa isiyokuwepo hata kwa mataifa

lakini habari imeenea kote-eh!

ya kwamba kwenu ninyi kuna zinaa mbaya

zinaa isiyokuwako hata kwa mataifa

nanyi mwajivuna hamkusikitika

jina la Mungu latukanwa mwashangilia oh!

nanyi mwajivuna hamkusikitika

jina la Mungu latukanwa mwashangilia

hamjui ninyi mmekuwa

mmekuwa hekalu la Mungu

roho wa Mungu anakaa kwenu

(ninyi mmekuwa) mmekuwa hekalu la Mungu

(huyo roho wa Mungu)

roho wa Mungu (jamani) anakaa kwenu

*********verse2 *****

Mtu akiliharibu hekalu la Mungu

ataharibiwa huyo

kwa maana

hekalu la Mungu ni takatifu

ambalo, ndilo ninyi

******bridge*****

Na msidanganyike Mungu kamwe hadhihakiwi

(chochote)

chochote upandacho ndicho utakachovuna

(nasema msijidanganye)

na msidanganyike Mungu kamwe hadhihakiwi

(chochote upandacho)

chochote upandacho ndicho utakachovuna

mnataka nije vipi (hayaaa)

au nije kwa upendo

mnataka nije vipi kwa roho yenye upole?

mnataka nije vipi

au nije kwa upendo?

(nambieni sasa)

mnataka nije vipi (jamani)

kwa roho yenye upole

nanyi mwatakaje sasa, nije kwenu kwa fimbo?

mnataka nije vipi

au nije kwa upendo (nambieni)

mnataka nije vipi, kwa roho yenye upole

mnataka nije vipi, au nije kwa upendo

mnataka nije vipi, kwa roho yenye upole?

nanyi mwatakaje sasa, nije kwenu kwa fimbo?

***********

hivyo kila anayejidhania

ya kwamba amesimama wokovuni

hivyo kila anayejidhania

ya kwamba amesimama wokovuni

lazima ajihadhari (huyo)

aipime kazi yake (ashike sana)

ashike alichonacho

asije akaanguka (jamani)

lazima ajihadhari (huyo)

aipime kazi yake (ashiske sana)

ashike alichonacho (jamani)

asije akaanguka

mnataka nini

mnataka nije vipi (baba)

au nije kwa upendo (baba yangu eeeh)

mnataka nije vipi kwa roho yenye upole?

(nambieni sasa)

mnataka nije vipi au nije kwa upendo

mnataka nije vipi

kwa roho yenye upole

nanyi mwatakaje sasa, nije kwenu kwa fimbo

mnataka nije vipi

au nije kwa upendo

mnataka nije vipi kwa roho yenye upole

mnataka nije vipi

au nije kwa upendo (jamani)

mnataka nije vipi, kwa roho yenye upole

nanyi mwatakaje sasa

nije kwenu kwa fimbo?

*********

na kila alalaye na mke wa baba yake

kufa na afe

na yule alalaye na mume wa mama yake

kufa na afe

kila alalaye na dada yake huyo

kufa na afe

na kila alalaye na mume wa mama yake

kufa na afe

na yule alalaye na mke wa baba yake

kufa na afe

na kila alalaye na mume wa mama yake

kufa na afe

na kila aziniye na mke wa baba yake

kufa na afe

na yule aziniye na dada yake huyo

kufa na afe

nasema aziniye na mama yake huyo

kufa na afe

mnataka nini?

mnataka nije vipi, au nije kwa upendo

mnataka nije vipi, kwa roho yenye upole

mnataka nije vipi, au nije kwa upendo

mnataka nije vipi, kwa roho yenye upole

nanyi mwatakaje sasa nije kwenu kwa fimbo?

mnataka nije vipi, au nije kwa upendo

mnataka nije vipi, kwa roho yenye upole

mnataka nije vipi, au nije kwa upendo

mnataka nije vipi, kwa roho yenye upole

(wachungaji semeni)

nanyi mwatakaje sasa nije kwenu kwa fimbo?

mnataka nije vipi (mamaa) au nije kwa upendo

(mnataka nini sasa)

mnataka nije vipi, kwa roho yenye upole

(nambieni sasa)

mnataka nije vipi,(baba wee) au nije kwa upendo

(mnataka nini wachungaji)

mnataka nije vipi, kwa roho yenye upole

(mnataka nini waimbaji)

nanyi mwatakaje sasa (ohooo) nije kwenu kwa fimbo?

mnataka nini?

mnataka nije vipi (ninyi), au nije kwa upendo

(mnataka nini sasa)

mnataka nije vipi, (jamani) kwa roho yenye upole

(wachungaji mnataka nini)

mnataka nije vipi, (jamani) au nije kwa upendo

(waimbaji semeni)

mnataka nije vipi, (jamani) kwa roho yenye upole

oh!

nanyi mwatakaje sasa nije kwenu kwa fimbo?

lyrics added by Phellow 254790511905

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status