MWAMINIFU Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
Verse 1
Uliahidi baba hautaniacha,
katika dhoruba umenishika
nakuita Emanueli, mungu pamoja nami,
nakimbilia kwako nikawa salama,
Chorus
Umwaminifu Baba, Hubadiliki kamwe
Utabaki kuwa hivo,
Mwaminifu Jina lako.
Verse 2
Nijapopita kwenye bonde la uvuli wa mauti,
sitaogopa lolote uko nami,
waandaa meza mbele ya watesi wangu,
Fimbo yako yanifariji siku zote,
Chorus
Umwaminifu Baba, Hubadiliki kamwe
Utabaki kuwa hivo,
Mwaminifu Jina lako.
Outro
Utabaki kuwa hivo,
Mwaminifu Jina lako