Wastahili Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
Oooh.....Ibadaa Twaleta....wastahili sifa.
VERSE 1
Kwa mfano wako sisi tuliumbwa,
Kwa neno lako dunia ikawa....Oooh
vyote vizuri na vya kupendeza machoni mwako ooh ooh
wewe ni Mungu wastahili
CHORUS
Wastahili sifa, Wastahili heshima,
ibada na sifa twaleta wastahili sifa
VERSE 2
Nina kuabudu Mungu mwenye enzi, (Mwenye enzi)
nina kuinua uketie pahala pa juu (Pahala pa juu)
unastahii mfalme wa wafalme eeeh eeh
uhimidiwe bwana wastahili oooh oooh
CHORUS
Wastahili sifa, wastahili heshima,
ibada na dhima twaleta wastahili sifa