Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2022

This song is not currently available in your region.

Try the alternative versions below.

Lyrics

Doreen - Lody Music

...

Aaah

Chid

Bad music on this one

Chid care

Looking to your eyes l see your baby face wanders

Acha inichengue l l’ll be under cover umbrella

Am telling no Lies eti kwake nimezama me msela

Kindanindan namjua kitandan peleka mpela

Mmmmh

Ooh ma baby Doreen sema kwangu we unataka ni nin

Nakupenda nikuache kwa ni nin

Kwako nimekufa yameoza maini Eeehh

Ooh baby Doreen napata tabu we ukiwa mwezini

Twende kwa baba zawadi aah nikatoe posa mie

Mmmh

Wanauliza kuhusu mwezi kung’aa unaoga maji ya chupa

She so beautiful lady amanilicho na moyo wangu nakupa

Mmmmh

Wataongea sana ili nikuache ila mama sitofanya hivyo

Hapana

Ooooh waley aaaah

Hapana

Wataongea sana ili nikuache ilama sitafanya hivyo hapana

Nakupenda Doreen aaaah aaah sitofanyahivyo

Hapana

Aaaa eeeeh aaaah

Aaaaah

Mmmmh

Hii ni true luv sio bandia anapenda navyo mpa

Bombardia

Aaah nizama kwenye penzi dear uzuri wake kama malikia

Kiswahili kidog kingereza kwa wingi uyu Doreen bwana

Asili yake mcongo kaniweza kwa vingi uyu Doreen bwana

iii jaman ili bonge la chombo anaishi Sweden uyu Doreen bwana

Picha zake zinatesa wabongo uko mitandaon uyu Doreen bwana

Mmmh

Ooh ma bby Doreen sema kwangu we unataka nn

Nakupend nikuache kwa nn kwako nimekufa yameoza maini

Eeeeh

Oooh ma bby Doreen napata tabu we ukiwa mwezini

Twende kwa baba zawadi aah nikatoe posa mie

Mmmmh

Wanauliza kuhusu mwezi kung’aa unaoga maji ya chupa

She so beautiful lady amanilicho na moyo wangu nakupaa

Wataongea sana ili nikuache ila mama sitafanya hivyo

Hapana (hapana)

Ooooh waleee aaaaaah

Hapana

Wataongea sana ili nikuache ilamama sitofanya hivyo

Hapana

Nakupenda Doreen aaaah

Aaaah sitofanya hivyo

Hapana aaah eeeh

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status