Time ft. Kidgolden Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Alot in my mind that I don't speak
But I wished siku nipewe mic na beat
Siku nipewe chance ni unleash
Nipande on stage
Nikutane na mafans wa huu mziki
Niwaulize mambo vipi
Nini wana hisi kume miss
Maana kazi yangu ni uandishi
Nioeni hoja zenu niandike
Lengo like moja
Ili litu unganishe
Ahh mi ni mlango wa nyumbani
Wazazi wana uliza mbona sambo huonekani
Nipo kwenye kiza na mulika vya gizani
Vingi vime fichwa
Sa sijui ata sema nani
Napambana baba napambana mama
Usiku mchana hua namuomba maulana
Asiache kuwalinda we na mama
Mwanenu nina ndoto
Ndoto kubwa sana
Hili joto na huu msoto
Njaa iki tupiga mkong'oto tuvumilie maana
Mungu ana bariki mdogo mdogo
Mambo yatatiki nanyi muishi kama vigogo
Hahaaaa
Everything is gonna be alright
Things are gonna be like last time
Everything is gonna be alright
Everything is gonna be alright yeah
Everything is gonna be alright
Maisha hayato baki kama this time
Sitaki kupoteza my time
Kila kitu kitakua fine so fine
You know life ni prata or promo
Kukataa fame nakufata maono
Alie kataa soks amepata magono
Alishindwa kataa pombe mzee lomolomo
Never say never hakuna
Kabla hujalimeza tafuna
Michezo unayocheza ikibuma
Ukianguka nyanyuka
Mwanaume kujituma
Aaaah amini kwamba mitaa ina darasa
Mitaa imenipa code taa inayo waka
Mitaa imenipa visa nipae ninapo taka
Niluke mbingu ya sita nitue mbingu ya saba
Nachakata kichwa nakua kifikra
Muda unavyo pita ninabadirika
Sikuizi nikichanika nawapa maarifa
Nawapa madini
Mwanadamu simuamini
Anatabia kama Mia kazificha
Unae muanini ndiyo anakuzalilisha
Alie nilamba ulimi
Ndiye alie niumiza
Haha weuwee
Everything is gonna be alright
Things are gonna be like last time
Everything is gonna be alright
Everything is gonna be alright yeah
Everything is gonna be alright
Maisha hayato baki kama this time
Sitaki kupoteza my time
Kila kitu kitakua fine so fine