POLICE Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Polisi
Polisi
Polisi
Mr policepolisipolisipolisi
Mr police Mr policeMr police
Kwanza mi nakujua
we ni mtoto wa mama shabani
Dada yako maua
na mama ni muuza samaki mtaani
Shabani umemuacha nyumbani
Shabanishabani anatabia gani
Shabani anakula majani
Kwanini shabani humuweki ndani
Unafanya unijui leo
Unanchimba mabiti leo
Tulisoma maendeleo
Vipi miogo ya mama deo
Mchizi anatia huruma
Akikunja magoti yanauma
Akishika hizo mbavu zinauma
Hawezi tembea
Unyayo unauma
Mr policepolisipolisipolisi
Mr policepolisipolisipolisi
Mchizi anakosa gani
Kwanini unampiga mani
Kwani we ni dini gani
Punguza hasira man
Moyoni unaumia
Umefanya uamuzi hujafata sheria
Tuna muangalia
Demu wako mwenyewe ana mzimia
Ana mpitishia
Akitoka gengeni ghetoni anaumia
Tusha msikia
Mara kibao kwa mchizi ana lia
Ukitoka ana toka
Kikanga kimoja
Analeta vioja
Ukirudi amechoka
Mchizi anatia huruma
Akikunja magoti yanauma
Akishika hizo mbavu zinauma
Hawezi tembea
Unyayo unauma
Mr policepolisipolisipolisi
Mr policepolisipolisipolisi