My Miss Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2019
Lyrics
My Miss - Wakali Wao
...
hadi poko nimechizi ka msee amepiga ngwai mih na feel tuh connected kama wi fi ninataka nikutunze kama rungu ya maasai nitembee tuh na wewe yani side mpaka side ya,napenda malips juu ya vile unavvyokaa napenda mahips juu ya vile unavyovaa ukinikiss nakadaily I am ur mister iam ur your mister u are my miss
my lady kata waba mimi najua nakubamba na leo