Anaitaka Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Anaitaka - Wakali Wao
...
wakali wao yao yao
awayu say
uuuuuu
akitaka ah , mh anapewa
ah na akipewa aah
its medo on the beat
bebi kwa camera ebu pose ukiwa na dera
eeh kwanza inama zungusha makwela wee
bebi kwa na dera ebu pose kwa camera tena na tena
zungusha makwela
(chorus)
ju anaitaka banana anaitaka
anaitaka ikuliwe na paka
anaitaka lazima ataipata
napongi ntachapa niwache na kiraka x2