Umenikumbuka Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Umenikumbuka - Kibonge Wa Yesu
...
sasa nimejua uangalii sura Wala kabila
Tena nimejua ulinijua kabla sijqzaliwa
unakusudi na mimiiii
kati ya walio lala pengine ningekwepo na Mimi unalokusudi na Mimi
(unakusudi na Mimi)
si kwamba mi nimwema sana ata nisiwee kaburini unalokusudi na Mimi )
usawa mi ulini kabaa nilishindwa badilisha hata rubber
sikua na msaada nilikua kama mtoto asiye na baba
usawa mi ulinikabaa eeeeh
nilijuona pekeeyangu tena jangwani
sikua na msahada
walinitenda ndugu mpaka jirani
tena walinivunjana moyo wakasema siwezi inukaa
kweli binadamu Wana choyoo furaha yao kuona naanguka
umenikumbuka na Mimi
umenikumbuka na Mimi
umenikumbuka na Mimi
umenikumbuka na mimi
(unakusudi na Mimi]
mi namjua yule ninaye mtumikia wakiweka vigingi bure wanajisumbua
amenitoa kule sikua na dira.
atanishindia Kwa wale walio na hira
nikisema amenikumbuka mungu mwenzenyu mi na manishaaa
yeye ndo sababu Mimi kua hivi mwenzenyu kanibadilishaa si kwamba mi ni mwema sana hata nisiwe kaburini
unalo kusudi na mimi
usawa mi ulini kabaa nilishindwa badilisha hata rubber
sikua na msaada nilikua kama mtoto asiye na baba
usawa mi ulinikabaa eeeeh
nilijuona pekeeyangu tena jangwani
sikua na msahada
walinitenda ndugu mpaka jirani
tena walinivunjana moyo wakasema siwezi inukaa
kweli binadamu Wana choyoo furaha yao kuona naanguka
umenikumbuka na Mimi (eeh mungu wangu wewe)
umenikumbuka na Mimi ata mbaye sikuesabika
umenikumba na Mimi mwokozi wangu wewe
umeni kumbuks na Mimi
umenikumbuka na Mimi umenikumbuka na Mimi umenikumbuka na Mimi