Wamebaki Na Story ft. Godfrey Steven Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Wamebaki Na Story ft. Godfrey Steven - Kibonge Wa Yesu
...
Verse1
mmh oh mmh
Midomo yao kama simeee kama simee hukata huku na huku
lakini ona Bwana Amebadiri makali yao yamebaki buutu
wamebaki na jana yangu mimi sipo huko sipo huko
wanaongea mabaya yangu niliacha huko acha huko
mmmh akanipa na Zaburi ikanitia moyo Tazama kanibadirisha oooh akaongeza na Mithali ikanipa hekima nisije kuteleza tena oooh oh
Mawazo ya wanadamu sio mawazo atuwaziayo Mungu Kipimo cha maneno yao sio kipimo cha huyu Mungu
Chorus
Wamebaki na Storia yao