Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2022

Lyrics

Do do do ft. Kidum - Vivian (KE)

...

Niliposema yes I do (do do), I meanti yes I do

Na uliposema yes you do, I thought you meanti yes you do.

 Karibu nyumbani , karibu kiti, mpenzi wangu tulia

nimekua nikikusubiri nina jambo la kukwambia

tumeishi miaka mingi, tumepatana na mengi

tulipopata maadui tuliwashinda pamoja

lakini jambo moja linanikera bebi (aaah)

Nimekua nikikuona na kasichana fulani (aaah)

I know how you met and where you meet, it's funny how you think I don't know

Najua anakoishi,

mabeshte wake,

it's funny how you think I don't know.

 Niliposema yes I do(do do),

I meant it yes I do

Na uliposema yes you do,

I thought you meant yes you do.

Sasa cheki unavyo do do do do do

hizo ni gani una do do do do do

mi sipendi unavyo do do do do do

hizo ni gani una do do do do do.

Sasa cheki unavyo do do do do do

hizo ni gani una do do do do do

mi sipendi unavyo do do do do do

hizo ni gani una do do do do do.

 Mimi sijui niseme nini kwa hizi shutuma,

kusalimiwa tu na kina dada ni jambo la kawaida,

ni mwanadada yupi anayefanya bebi wangu kunishuku hivi,

nani uyo tena anajaribu kutuletea ugomvi,

wachana na izi kesi,

mapenzi yetu si mambo fakey

mimi hujaribu sana kuwa mkweli na muwazi kwako

mambo yote watu wanasema kunihusu ni uvumbi na uchochezi

hawajui tulitoka mbali mimi na wewe

wachaga kulia,

wala kusononeka

wale siwatazami,

natazama tu wewe bebi.

 Niliposema yes I do (do do) ,

I meant it yes I do

Na uliposema yes you do, (bado msimamo wangu ni huo)

I thought you menti yes you do.

Sasa cheki unavyo do do do do do

hizo ni gani una do do do do do

mi sipendi unavyo do do do do do

hizo ni gani una do do do do do.

 Is it me or is it her,

sema ni nani unataka

is it me or is it her,

sema ni nani unataka.

Kama ni lazima akue, (hayuko)

ni lazima ajue(hakuna mtu )

kama ni lazima akue, (hayuko)

ni lazima ajue.(hakuna mtu )

Tuko na watoto nawe (nawe)

pia mali tumepata nawe(nawe)

asinikosanishe nawe(nawe)

ju mi siachani nawe.(labda umeota)

Ju kama mke wako nadeserve some respect and attention(hakuna mtu)

kama mke wako nadeserve some respect and affection.

 Niliposema yes I do (do do),

I meant it yes I do

Na uliposema yes you do,

I thought you meant you do.(bado niko kwa msimamo huo)

Niliposema yes I do, I meant it yes I do

Na uliposema yes you do,

I thought you meant you do.(bado niko kwa msimamo huo)

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status