Itakuaje Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Itakuaje - Vivian (KE)
...
Alijawa na fantasy
akacheza na wa dimba
Akapenda wa ofisi
lakini akaliwa na fisi
Since he got no paper
he don’t care what gets her
Alidhani anamfanyia favour,
now there’s no one to save her
Alidata na yeye,
mimba akapata naye
Anataka kuwa na yeye,
na chali hataki kuwa na yeye
Anasaka mchumba ju mwenye mimba amedinda
Alicheza dimba,
akapata mimba
Kila mtu ana mapungufu yake ila itakuwaje
Kila mtu ana mapungufu yake ila itakuwaje
Itakuwaje atafanya aje
Atafanya aje
Itakuwaje atafanya aje
Atafanya aje
Itakuwaje aje aje
Itakuwaje aje aje
Boy anaishi ghetto,
anaogopa plans za kusettle
Hataki mtoto ju anakuanga msoto
Dame ameshika moto,
hajui vile atalea mtoto
kama giza totoro,
ni nini atafanya moro
(ooh) anajiuliza aitoe ama ajitoe (aah)
Ama azae mtoto awachie mamake
Anasaka mchumba ju mwenye mimba amedinda
Alicheza dimba, akapata mimba
Kila mtu ana mapungufu yake ila itakuwaje
Kila mtu ana mapungufu yake ila itakuwaje
Itakuwaje atafanya aje
Atafanya aje
Itakuwaje atafanya aje
Atafanya aje
Itakuwaje aje aje
Itakuwaje aje aje
She got dreams of her own
She wants to have her own
She gat child mandate
And still she wanna go date
Hataki njaro za masponsor,
anahitaji pesa
Lakini boy anamtesa ju ye hataki pressure
Alijawa na fantasy akacheza na wa dimba
Akapenda wa ofisi lakini akaliwa na fisi