Uwezo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Uwezo - Adawnage
...
....
ooooooohhhhh...yeah
nilikuwa natafuta ukweli wa maisha yangu sasa miye nauliza nianze wapi marafiki wangu wote wamenikimbia aye...eh..
jehova nisi nalia nihurumie
Nipe... uwezo...uwezo wa kusimama imara juu ya neno lako we×2
nilikuwa natafuta kipenzi cha roho yangu sasa miye nauliza nianze wapi eh
maumivu,machungu mengi yamenijaza miye ahee...jehova nisi nalia nihurumie
Nipe uwezo....uwezo wa kusimama imara juu ya neno lako we
REPEAT VERSE ONE THEN CHORUS
..............................................................................
uwezo...uwezo....wa kusimama imara juu ya neno lako×2
oh I!×3
uwezo....uwezo....wa kusimama imara juu ya neno lako×2
....................
wa kusimama imara juuu ya neno lako we
.........
wa kusimama imara juu ya neno lako we
......... ...