Kiroho Safi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Kiroho Safi - Wyse Tz
...
huenda nyota zetu hazikuendana ama mioyo yetu haijaumbiwa kuoendana tusifisi vitu zilosgindikana hata sisi watu hatujakamilika mama unaweza ukanipenda na moyo wako ukagoma ama mimi nikakupenda kilasiku nikakupa homa ila leo ninesalenda imeshindikana safari njema nenda nakuombea kwa Maulana ninajitahidi kuzidi uwezo wangu iwaje inanibidi kunusuru moyo wangu na ulijitahidi uwe changuo langu ya ulimwengu yalizidi uenda sio fungu langu ,,,kiroho safi ,,kirohosafi nenda ,,kiroho safi,,kiroho safi nenda,,kiroho safi,,kirohosafi nenda ,,kiroho safi ,,kirohosafi nenda alisema mapenzi upofu hawakukosea ridhiki mafungu saba letu halikutimia nisamehe makosayangu nipokukose nifichie madhaifu yangu yasije enea ninejitahidi kuzidi uwezo wangu waje inanibidi kunusuru moyo wangu na ulijitahidi uwe changuo langu ya ulimwengu yalizidi huenda sio fungu langu kiroho safi,,kiroho safi nenda ,,kiroho safi ,,kiroho safi nenda