Nitakuwa Na Wewe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Nitakuwa Na Wewe - Beda Andrew
...
kama kukupenda ni kosa,kuwa nawwe ni kosa
(Niko tayari walimwengu wanitenge )
kama kuwa nawwe ni ushamba, kuisha NAWE si ujanja
(Niko tayari walimwengu wanicheke)
( brg)
sababu ninaelewa nikiwa na ww napata raha
ninaelewa kuishi na ww ni furaha
ninaelewaaa h mmmh eeeh mmh
ninaelewa ooooh ooo
(hata iweje,wafanyeje ,wasemeje mm ctakuacha)2
chrs
nitakuwa na ww milele
nikae na ww milele
nitembee nawee
ee mwokozi wangu
maneno,maneno ya wanadamu yanavunja moto yanapotosha
dhumuni lake ni kunitenga mbali nawe
kwa damu iliyomwaga msalabani ILI mm niwe wa thamani co rahc kwa mwanadamu kunitenga nawee
(rpt brg)
then chrs
ooooooh ooooooh eeeeeehhhooooooh
moyo wangu nimekukabidhi na mwili wangu uwe hekalu lako
ee BWANA nimekubali ukae NAMI
nitakuwa naw cku zote
milele na milele sitakuacha
nitakubali niviache vyote nikufate wewe
rpt brg and chrs