Mbali sana Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Mbali sana - Beda Andrew
...
Nalikuwa sijiwezi unyonge ulinielemea sikuwa na tumaini ya mbele kuendelea imani ilififia sikuona kabisa kama moja ya nyenzo iliyotikisika nalikosa tabasamu usoni tegemeo sikuona maishan nikashindwa endelea mbelee hali iliyofanya nikwame kuleeee
Uliponitoaa ni mbali sana
Ni kweli ulinkomboa nashukuru sana
Ulikonktoa n mbali ukanikomboa na zile laana
Ni mbali sana nashukuru bwnaa
Uliona haikua shwar mm kupotea njiaa
Sijui namna gan uliwaza ukanihurumia
Nalifanania jangwa mvua kutonyeshewa