Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

Lyrics

Fala Mimi - Frida Amani

...

Skuwai kujua kama ni game so I didn’t play

I was in love and I was there to stay

Kumbe aliniona chuzi nkipiga alikua busy

?

Fala mimi

Wana waliposema nliona wananionea wivu

Nkaanza jitenga nkapunguza ukaribu marafiki skutaka tena

NKamfanya kila kitu

Nkampa moyo nafsi adi maini ila kwake skua kitu fala mimi

Akiwa nyumbani alipretend anawivu

Vitu vidogo Vilikua big issue fighting kila term ila nkakaa tu

Skuwai kuhisi ananitia aibu kwa watu

Fala mimi

Nliingia kichwa kichwa kwenye mapenzi

Yani deeply kishenzi kumbe mwanangu anapretend fala mimi na ugengster wote nlitubu nkakaa chini akanichanganya akili nkadata mm atanlipotaka vuta kunywa havikuingia mwilini haikuniingia akilini kwamba huyu naempenda ndo ananiumiza hivi

Fala mimi

Wanasema ukipenda umependa na uwezi panga utaempenda so ukipenda u in danger believe that I felt in my heart fala mimi chakushangaza yote unayojua akipiga tu napokea akinita natokea nampenda na ananionea na msamaha naomba ata akinikosea sio fair

Fala mimi ananitia stress tu I don’t know what to do

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status