Mwanamke Fisi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Mwanamke Fisi - HEROES OF FAITH MINISTERS MOMBASA
...
…
Njooni mkamuone
Aliyeniambia siri zangu
Hata kabla sijajieleza kwake
Awape maji ya uzima
Njooni mkamuone
Aliyeniambia siri zangu
Hata kabla sijajieleza kwake
Awape maji ya uzima
Yule atakayekunywa
Maji yake ya uzima wa milele
Yatakuwa chemchemi ya uzima
Yakibubujikia ndani yake
Yule atakayekunywa
Maji yake ya uzima wa milele
Yatakuwa chemchemi ya uzima
Yakibubujikia ndani yake
…
Mara akaja
Na kuketi kando yangu
Kwa ukajisiri akanena nami
Lakini mimi nikawa ninatamani
Awe mume wangu wa saba
Mnavyonijua kwa uzinifu wangu
Nikafikiri nimebarikiwa
Na mwanamme
Mtanashati
Aliye umbwa akaumbika
Lakini kumbe mwanamme huyu
Ni mkombozi wa dunia
Lakini kumbe mwanamme huyu
Ni mkombozi wa dunia
Mara akaja na kuketi kando yangu
Kwa ujasiri akanena nami
Lakini mimi nikawa ninatamani
Awe mume wangu wa saba
Mnavyonijua kwa uzinifu wangu
Nikafikiri nimebarikiwa
Na mwanamme
Mtanashati
Aliye umbwa akaumbika
Lakini kumbe mwanamme huyu
Ni mkombozi wa dunia
Lakini kumbe mwanamme huyu
Ni mkombozi wa dunia
Yule atakayekunywa
Maji yake ya uzima wa milele
Yatakuwa chemchemi ya uzima
Yakibubujikia ndani yake
Yule atakayekunywa
Maji yake ya uzima wa milele
Yatakuwa chemchemi ya uzima
Yakibubujikia ndani yake
Yule atakayekunywa
Maji yake ya uzima wa milele
Yatakuwa chemchemi ya uzima
Yakibubujikia ndani yake
Yule atakayekunywa
Maji yake ya uzima wa milele
Yatakuwa chemchemi ya uzima
Yakibubujikia ndani yake
…