Nimekukosea Mungu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Nimekukosea Mungu - HEROES OF FAITH MINISTERS MOMBASA
...
Nimekukosea mungu,kwa vitendo nazo fikira zangu ninakusihi eer mungu wangu nirehemu nisipotee.. Nimetangatanga katika dhambi na kusahau maagizo yako,maisha yangu yananishangaza nalalama kama wenye dhambi.(nimegundua mwokozi wangu bila wewe nitapotea) ×2

Mwokozi wangu naja kwako nimelemewa na dhambi zangu,nioshwe tena kwa damu yako mimi mfungwa wa dhambi ×2
Upendo wa dunia umekita mizizi(katika maisha yangu)......×2
Moyoni mwangu natamani kutenda mema lakini mwili ni dhaifu,ninapopanga kutenda mazuri najikuta natenda maovu..
(bila nguvu za mbinguni,uongozi wako bwanaa udhaifu wangu utanizidi)×2
Mwokozi wangu naja kwako nimelemewa dhambi zangu ,nioshwe tena kwa damu yako mimi mfungwa wa dhambi ×4