Mihadarati ft. Sewersydaa Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mihadarati ft. Sewersydaa - Wakadinali
...
(Everybody's dance-dance-dance-dancing)
Unakonda kwa nini na ushaambiwa? Usipatane na mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipatane na mihadarati wewe
Hata mama alimwambia, "Usipatane na mihadarati"

Mwalimu shule ame-lecture, "Usipatane na mihadarati"

Simple Boy amekusho usipatane na mihadarati
Usipende mihadarati

Rong Rende
Kwani topic itakuwanga tu makali?
Ati moshi ndio ilifanya usione gari? (Yo)
Driver ako under influence, hatuendi mahali
Man's addicted hadi mtaa anakinda mali
Socks imefura ndo ujue rolls tunauza
Cops si huwakula, bro, si tushafungwa
Streets haina pupa, uki-insist pia utakufa
Symo ako ma-coke, bro ako ma-Chrome
Nani atazika nani? Mokoro ana-mourn
Bible haikutu-warn, Yesu ali-perform
Miracle, ati ali-change maji to vodo
Uncle hu-doze kwa trench, hausikii hivo ndio mi huambiwa
Ni feeling inaitwa kushika, liquor ikishikana na liver
Kwa diva aliingilia arifa, muulize
Saa hii amekuwa miezi pande za Ziwa
(Everybody's dancing in the moonlight
Dancing in the moonlight
Everybody's feeling warm and bright)
Unakonda kwa nini na ushaambiwa? Usipatane na mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipatane na mihadarati wewe
Hata mama alimwambia, "Usipatane na mihadarati"
Usipende mihadarati sana, usipatane na mihadarati wewe
Mwalimu shule ame-lecture, "Usipatane na mihadarati"
Usipende mihadarati sana, usipatane na mihadarati wewe
Simple Boy amekusho usipatane na mihadarati
Usipende mihadarati
Unakonda kwa nini na ushaambiwa?
Yo, naishi mtaa youths wamepagawa huku, wengine wameachilia wire
Juu ya drugs, guns, violence, mpaka kuna chokoch aliuawa
Plenty vices, ndio maana approach ni marijuana
Niaje yout ako 25 aka-rape shosh wa 91?
I used to have this ex, ata sisemi ni nani, husikii
Face pretty, body risky, ngori ni ye hupenda whiskey
Ratchet chini ya maji but girl yu hushinda church
Tuli-regret, alikufa kaa amejifunika carpet chini ya bed
Sijakam ku-preach injili, ila mihadarati tume-retreat
Na juu ya mama, spirit yake, Wakadinali is for the kids
Give thanks japo tulipotezanga Maxi
Heri kuishi bila politician, tusijipakange marashi
Kuna msee alikuwa bigi ila ngirish juu ya kupata mabakshish
Aka-move to South B mpaka pale C juu ya kupenda Ratish
(Everybody's dancing, dance-dancing)
Unakonda kwa nini na ushaambiwa? Usipatane na mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipatane na mihadarati wewe
Hata mama alimwambia, "Usipatane na mihadarati"
Usipende mihadarati sana, usipatane na mihadarati wewe
Mwalimu shule ame-lecture, "Usipatane na mihadarati"
Usipende mihadarati sana, usipatane na mihadarati wewe
Simple Boy amekusho usipatane na mihadarati
Usipende mihadarati (Rong Rende)