Nyara Nyara Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Nyara Nyara - Wakadinali
...
Yoh, free hustle man
Free hustle man
Fvck lockdown
Big Beats Afriq) Afvrika!
Wakadinali au sio
Peng ni dyela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mraa tunairun bila haya
Na gut ni kilalo ya jana
Jokes on you mnatupima
Liars manze hio ni nini mnafanya?
Mavedi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
9 Months unatry kudeliver
Hatukuonei huruma ukuwe unless una
mimba
Ngwai East imepeleka vijana wengi
Inda
It's high time Kenya ikuwe legal
Ni heri uangushe kinde CBD njoka
wako rada
Ukikojoa watakushika
Mr atleast try jo kubehave
Staki damu imwagikie my lean and T-
Shirt
Naskia mnanitafuta huh, mpaka
mnanifuata kwa duka
Stepper mi hukanyaga kubwa
Ukikuja sana perhaps utakulwa
Unafaa kujua nani ndo kushuta
Before kunukishai hii mtaa unavweza
chuta
Mbepa si hufungia gunga
Hakuna ni Sunday mzae jo amefunga
Mi huflip ka beats za Afvrika
Niliwaachia Hiphop siku hizi man a
driller
Mabiz za mpini si hupiga
Kwani si ata judge alipardon killer
Splash splash tukifika
Itoka inaspark ma opp wanaitika
Trap trap to sad tisa ni mboka
Nilikuwa hapo hio jogoo ikiwika
Nimeona Subri ikinipita
think kwa hio rounda scene ilipigwa
Bruce iliskika street iliwika
Black alikam akanyambisa
Naskia mi mchafu spitter
Ni ka mi huandika hizo ngoma kwa
pipa
Kudus informer though hawakunipata
Nilikuwa na operate na Bipa
Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mrad tunirun bila haya
Na gut ni kilalo ya jana
Jokes on you mnatupima
LIars manze hio ni nini mnafanya?
Mavedi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
Warazi wcalipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
Peng ni ayela na gang ilimnyorc
Design ya nyara nyara nyara
Mavedi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
Kuna venye Covid naitii kitu moja
Daily coro 19 nilinona
cyber ronging in different location
Wolan tunaicduingi normal
Fake kings nazidi kuwawinda
Ka ulidhani hio ilikuwa mechi gwan
Hii ndo dimba
Peng ni ayela msupuu
Mans na Domani naishi life bila filters
Sina hadi maarifa
Mi nilidhani shore nilikuwa nabonga
naye Insta ni Risper
Nikihama mi huenda na kamba za
nguo
wish ningekuwa kPLC
Arif ilikuwa MCA, sai ni MP anarepingi
Westy
Sikumeet huyo msichana no no
Nilidate hio vigina
Ndoch uni manzi mechu
Ushaimwanika kwa mneti hapana
|was high in schol man a driller
Tangu enzi za Insyder
Nina ndoto ya maziwa mrefuu
Inaweza lipa debts zote za Mchina
Watch what you cire talking kwci pot
Timeline yako ina TikTok
Nina maboyz Kise huko Ngong
Walipanua riko sai wanamanufacture
Richot
Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mraa tunairun bila haya
Na gut ni kilalo ya jana
Jokes on you mnatupima
Liars manze hio ni nini mnafanya?
Mavedi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mavedi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
For Real! Heri nitokee siwezi kukutusi
Twitter mimi
Ocs OCs alisema tupotee na tusiwahi
rudi mijini
Wanainita Dangote na mi sijui kwanini
Nyonginyo zangu zinatee sivui viatu
nikiwa kwako mimi
Hii tenje ipotee nishakuwa Hoodini
Sanse atokee hii ngwai haizimwi
Mi sinanga Fee bado najiamini
When you see me better hashtag
easy
Deep down they Wanna be me
Hii mtaa chini ya maji niko na dini
Rhyme Gym Rong Rende ndani ya
building
Combine kila rapper Kenya ndio
unimake mimi
Wakiniona ni rizla na ganja
Nikishawachoma girimba narambwa
Mama mboga anachezaga na rada
Alinicall akanishow safisha unasakwa
Ju nina niggaz waliiba na ALBAB
Pandishaga middle finger kwa media
na cover
Vijana walikosa riba na rada
Ilikuwaga ni mchana
wakikimbiza mambang'a
Sio easy getting this shilling
Me na bro kitchen we be distilling
Yeah I told you if you see me, you see
me
I was not there but they gave you the
same feeling
Undercover Googleu search
Undercover msupa acheze bubu
tukif"ck
Ka anakanja crew indkam
Wakiletaga ujanja crew inakam
kuburn