Melanin Millenials Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Melanin Millenials - Wakadinali
...
uuh yo yo eeee Rong Rende Wakadinali
Daily mi utanipata Kwa Biashara
Niko mishe mishe ukini tafta
mamishoni nyuma moshi ni ya kishasha
halo halo nikwa rununu niku kata
vile tuko posted izi corners sio kutaka
hapa hatuna time Na mtaa kusosi ni disaster
wash izo ma nizol
wana cry bro ka unaezatumia mashini yaku wash izo ma nitho
Mimi naangalia mudaa
sitaki tena mambo yaku kuja
Kamwe sitaangalia dhudhaa
Sitaangalia dhudhaa
Mimi naangalia mudaa
sitaki tena mambo yaku kuja
dearest baby daughters
with the melanin millenials msiwahi anguka
Mimi naangalia mudaa
sitaki tena mambo yaku kuja
kamwe sitaangalia dhudhaa
sitaangalia dhudhaa
Mimi naangalia mudaa
sitaki tena mambo yaku kuja
dearest baby daughters
with the melanin millenials msiwahi anguka
I'm with a
fine gal big bompa harakisha hasichoche
big bunda Kwa pokee
washa gunga in the open
Mi uka surprise
close your eyes
funga izo kope
Next
Dunda Lacoste dunda Lacoste
rorembo a fresh fear of God haya ni mambo yaku kuja
kamwe sitaki kungojea dhudha
silly politician ndo iyo envelope retire embassy
youths wame development kitu ita change entire industry
Mimi naangalia mudaa
sitaki tena mambo yaku kuja
kamwe sitaangalia dhudhaa
sitaangalia dhudhaa
Mimi naangalia mudaa
sitaki tena mambo yaku kuja
dearest baby daughters
with the melanin millenials msiwahi anguka
Mimi naangalia mudaa...
sitaki tena mambo yaku kuja
kamwe sitaangalia dhudhaa
sitaangalia dhudhaa
Mimi naangalia mudaa
sitaki tena mambo yaku kuja
dearest baby daughters with the melanin millenials msiwahi anguka
kwa ground vitu ni different haters naachia Mungu
naomba mitego zibomoke
tuki ongelea hii mambo ya vibration
atonje inanionyesha maajabu ina peleka dildo teke
tonjes ndani ya cover niku kwa kwaa
hakuogopi kusema tume ma! ma! pur!
tuna wajengea boma ndani ya camp usijifanye hujui hii ni ya kuwa gongea cheki pra! pra! ( paw paw paw)
Mimi naangalia mudaa
sitaki tena mambo yaku kuja
kamwe sitaangalia dhudhaa
sitaangalia dhudhaa
Mimi naangalia mudaa
sitaki tena mambo yaku kuja
dearest baby daughters with the melanin millenials msiwahi anguka
Mimi naangalia mudaa
sitaki tena mambo yaku kuja
kamwe sitaangalia dhudhaa
sitaangalia dhudhaa
mimi naangalia mudaa
sitaki tena mambo yaku kuja
dearest baby daughters with the melanin millenials msiwahi anguka
nifanyie favor sare iyo geng
najua hii nimbaa ongezea ngoma kwenye count down basi bow down
kwa hii industry zile bidhaa mzee ni sisi tuli wai back
tuko focused though kuna watu hawapendi
hakuna muda tujaliii
peleka mchezo Wembleyyy
peleka mchezo Wembleyyy