Maumivu Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Maumivu - Kifaru Insome
...
eeiih eee! ouuuh! mhhhh
nampenda, namwachia aendeee
akinipenda Sana basi naye atarudi
sitojigamba, Sina bahati ya mtendeee
nimebaki peke yangu licha ya zake ahadi
mhh! niliyempenda kwa dhati wengine walionitaka n'kawafungia
lleo mefunganya ameondoka mwenzenu kizee najililia
mwenzangu mtunza Siri,
ameondoka hakuwa jasiri,
akaniita Mimi kafiri,
aieee maama!
nahisi nimpigie, tena nimnunie, kinaya nimsifie tena kwa nyimbo nzuri nimwimbie,
natamani anipigie, anikumbuke anililie, aniombe nimrudie, nipate nafasi nimvimbie, (ila yote hayo ni)
maumivu ×3 nalia Mimi Sina budi
maumivu ×3 nalia Mimi Sina budi
eti mda huponya
dawa ya mboga Kali ni nyanya na moyo wangu ushaabondwa kitumbuani mchanga,
usiku natamani usingizi
nikilala anijia ndotoni
naamka simpati pembeni
tumbo jotooni
nikikumbuka Nairobi
tulivyopendana Sana
tukavishana Sana
wakatuongea Sana
nikikumbuka mabusu
Moyo unaniuma Sana
tena ninawaza mbona
chui yanimurder bwana
nahisi nimpigie, tena nimnunie, kinaya nimsifie tena kwa nyimbo nzuri nimwimbie,
natamani anipigie, anikumbuke anililie, aniombe nimrudie, nipate nafasi nimvimbie, (nayahisi Mimi tu)
maumivu ×3 nalia Mimi Sina budi
maumivu ×3 nalia Mimi Sina budi
moyo wangu mimi (umepasuka)
mooyooo (umepasuka)
siyahisi mapenzi (umepasuka, umepasuka, umepasukae)
I begged for her love (umepasuka)
amenitoka Mimi (umepasuka)
nahisi tu chuki (umepasuka umepasuka umepasukae) farewell to love