Natamani Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Natamani - Kifaru Insome
...
oouuuyeeeh,
Kifaru Insome
The girl in my dreams, my life,she is my fantasy,
My heart’s desire, my remedy,
Natamani nimwambie nampenda, nahofia atayakataa mapenzi,
Nimemfuata kila kona akienda, kivuli mpenzi mtazamaji,
Amenitia mawazo nimekonda, navyomwogopa utasema ni polisi,
Maua na zawadi zimeenda ila kutoka kwa nani hajui!
Nani aliyaumba mapenzi yameninogea,
Namwogopa ninayemuenzi sijajongea!
Natamani mapenzi na yeye,
Natamani kupendwa na yeye,
Nikaringe mtaanina yeye,
Tuwe Pamoja milele!
Natamani mapenzi na yeye,
Natamani kupendwa na yeye,
Nikaringe mtaanina yeye,
Tuwe Pamoja milele!
Uzuri wake, upole wake, mtaani wanamtamani,
Mwendo wake na umbo lake, akitembea sema burudani!
Mwangalie rangi kama dhahabu,
Akitabasamu Napata taabu,
Urembo wake ni wa ajabu,
Ataniua bila sababu,
Mwangalie anavyonipa taabu,
Mrembo wa kuria ananiadhibu,
Naugua moyo njoo tabibu,
Mahaba kwangu ni masaibu!
Nani aliyaumba mapenzi yameninogea,
Namwogopa ninayemuenzi sijajongea!
Natamani mapenzi na yeye,
Natamani kupendwa na yeye,
Nikaringe mtaanina yeye,
Tuwe Pamoja milele!
Natamani mapenzi na yeye,
Natamani kupendwa na yeye,
Nikaringe mtaanina yeye,
Tuwe Pamoja milele
I am in love, aaaah!!*7
I am in loooove!!!
Natamani mapenzi na yeye,
Natamani kupendwa na yeye,
Nikaringe mtaanina yeye,
Tuwe Pamoja milele!
Natamani mapenzi na yeye,
Natamani kupendwa na yeye,
Nikaringe mtaanina yeye,
Tuwe Pamoja milele