Yamebadilika Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Yamebadilika - Komando Wa Yesu
...
mtakaa asubuhi kiza kitaingia aaah kusubili aibu yangu km mlivozoea aaah mmmmhhh inamaana amjui imebaki storia aaaah aaaah aaah mmmhh
kati ya watakao futwa machozi NAMI nimechaguliwa aaah kilio changu Cha mda mlefu amekisikia aaah yeeeh hakuna Tena Cha mikosi ni kifanikiwaaa aaah aaah aaah
wazamani si wasasa mmb yamebadilika eeeh eeeh eeh imekula kwenu imekula kwenu eeeh namjua ninae m2mikia najua ninae mwimbia mfalme wa wafalm funguo ya maisha yangu mlinicheka sana mpk kudiliki kusema namwamini Mungu asiyeona
Na nliposema nitajenga mjumba Yani mlicheka sana na nliposema ntamiliki magali mkaguna mmmmh ndoto ya mchana mkasema ni ndotondoto niache utoto mana aiwezekani kumbe yupo msemaji wa mwisho anaandaa kesho yangu nisinakie km janaa aibu iyooo
baba yangu si kiziwi ata asinisikiee baba yangu si kipofu ata asinionee baba yangu si mchoyo ata asinibalikiii km mlipanga mabaya imekula kwenu eeeh wazamani si wasasa mmb yamebadilika aaah mlipanga nife imekula kwenu eeh
wa zamani si wasasa mmb yamebadilikaaah eeeh eeh eeh imekula kwenu imekula kwenu eeeh ×2
Wa zamani si wasasa Yale yaliyonitesa nayo yamebadilika aaah imekula kwenu eeeh
walizoea kuona nahalibikiwaaah wakasema sitafanikiwaaah Mungu amebadilisha mmb pale akili yenu ilipoishia baba yangu ndo anapo anzia jambo kufanya jambo mtakaa balazani kuniongelea mabaya kuniombea ila ng'ambo nitavuka ng'ambo km nikiwete nimetembea aibu kaniondolea aaah mm si yule wa jana eeeh eeeh
2nae baba mwenyew uweza Alfa na omega uinua wanyonge Toka mavumbini machoni pa aduii unaenisikiliza kipi kinakulizaaah mwambie yesu achana na wanadamu awo ata wakuite tasaa sawaa waseme maskini sawaa waseme huolewi matusi yote wamalize wala usiwajibu sawaa nyamaza kimya sawaa kisasi si chako ww eiih mmb yatabadilikaah
Mm si yule wa janaa namuona bwana usiku na mchana imekula kwenu imekula kwenu eeh yaliyoshindikana kwa sasa yamewezekana ata useme apana imekula kwenu eeh