Nyota Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2014
Lyrics
Nyota - Peter Msechu
...
Overview
Lyrics
Main results
Uu... uuh
Uu... uu
Uu... uuh
Uu.uu
Eeh. sikiliza rafiki
Navumilia vingi vitimbwi
Moyoni bado anaishi
Ila amejaa usaliti
Aliondoka akaniacha peke yanguu .aaah
Hukunyuma nikalia na mungu wanguu. aah
Haikufika hata mwezi
Alipo kosa furaha akarudi
Ameshachora na tatoo
Jina la mpenzi wake mdanganyi
Lakini bado nilimpa moyo wanguu.uuuh
Nikiamini kuwa ye nifungu languu nilopangiwa.
(Nyota naing'ae kwako wee.
Nakuombea)
Kesha usiku na mchana ukiomba
Zidi kusema na mola ataitika
(Nyota naing'ae kwako wee.
Nakuombea)
Kesha usiku na mchana ukiomba
Zidi kusema na mola ataitika
Mapenzi ni wawili, wasioachana solemba
Iwe kwa dhiki, wingi wa mali
Muhimu kupendana
Mapenzi ni wawili, wasioachana solemba
Iwe kwa dhiki, wingi wa mali
Muhimu kupendana
Mbona yako ni madogo
Yanayonikuta huwezi niamini
Mpaka leo naishi nae
Anakuja na mpenzi hadharani
Ninachofanya mi nacheza part yangu
Ingawa kidoleni ana pete yangu
Nakusihi vumilia, siku moja ndoto yako itatimia
Malumbano na zogo, ya mapenzi huwezi kimbia
Daima subira ndio ngao yangu
Nawe jaribu kufata nyendo zangu
Utajivunia
Nyota na ing'ae kwako wee (nakuombea)
Nyota na ing'ae kwako wee (nakuombea)
Kesha usiku na mchana ukiomba
Uzidi kusema na Mola ataitika
Mapenzi ni wawili, wasioachana solemba
Iwe kwa dhiki, wingi wa mali
Muhimu kupendana
Mapenzi ni wawili, wasioachana solemba
Iwe kwa dhiki, wingi wa mali
Muhimu kupendana
Nyota na ing'ae kwako wee (nakuombea)
Nyota na ing'ae kwako wee (nakuombea)
Kesha usiku na mchana ukiomba
Uzidi kusema na Mola ataitika
Translate to English