Umetuacha Imara (R.I.P Magufuli) Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Umetuacha Imara (R.I.P Magufuli) - Peter Msechu
...
Uuuhuuuuu Eeeh umetuacha imara
Tanzania salaama
Magufuri lala salaama
Mwendo umeumaliza
Umetuacha imaara
Tanzania salaama
Magufuri lala salaama
Mungu akulaze pema peponi
verse
Nguzo yetu imaraaa imeangukaa inauma
Shujaa wetu shupavu mbona amelaa Aah
Amefanya makubwa ya kuigwa ya mfano
Magu tunakuliliaa twatamani uruudi kidogo
Mungu kwanini umeruhusu Mwamba wetu aende
Tumebaki na ukiwaa nafsi zimejawa kizaa