Freestyle Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Freestyle - Wakadinali
...
wizi imekua legal na bado wanajiona ronald reagan ati unaeza mwacho cigar lakini usimarwe na ki ingwa tuko ching down na clique tumetoka ku nyweta pima ka una point tuma pin tutakutokea na pin point kwa marima
si both tuliskia three shots maidhaa ya magiza around saa tisa
big court ndio niweze jificha incase kwa rodi kuna mbaru inapita
mamu usisimame kwa speaker ivo ndio si hujua zako zimeshika
hata step dunda kwa pick-up hesabu ulipiga nikaa hazikufika
ningejoin nacada ku fight hii shit lakini bado ningekua pande ya uwiji
wani deport ka noor aidin alafu wadai venye sina id
biz ni ya nini ka haingizi ganji adi siiradi
kam clean ukiingia westy lakini ukiwa D make sure umejipin
mi uhama na peddy sipendi ile maidhaa napiga na hapick
Mr ma sensi weekendi nyi mki kata mi niko ma spliff
mueke kwa payslip msome na akicheza na ganji yako mkill
unatukujia ukicreep na unakam kwa crib ona sa ulimadwa uki steal
bro akua na pen kwa pen so ilibidi amechora kwa ukuta
daniel kwa den na skeng naona kuna mtu mmoja atakufa
toto peng lakini auezi amini vile anakula ki gunga
feast fight unakuja na kucha we ni mwere na naona utanyuria
rizzler na stula kwa dealer oh my God naskia zimeisha
mzinka na unamkula kwani umekua ka kabiwa jesus
wadhi ndio unaeza nikuta nikichagua ma luku diriba
Sewer ako piwa labda kwa Dau anachemsha birika
neighbour always atawapima juu ako kwa payroll yangu magiza
nimetoka kuanua ma timber na ata sijapay loan ya ma teacher
na dondokea masimba from 17 to 14 seater
kuondokea ma girimba wamekua wakinifuata nyuma na dinga
2 year old alipigwa kuni kama kisauni mtaa ina uhuni
one man sitembei na kikundi kama ni yako iwache itarudi
riomo alifinyiwa ngumi akararuka saii amegeuka fundi
nataka Oscar ka sudi mokash kama joshua kutunyi
phone snatched apo street luthuli spoon fully
jeshi ya koto aitaki kuona ku fuli
effect ya kukua msoto but sa zingine pia ni upuzi
stupid early and over sikuzi tunawaita essy