Gangster Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Gangster - Wakadinali
...
Yoh yoh yoh
Wada!
(you killed this track)
( verse)2
ulibaki home
tukaingia mboka kusearch for dooh
ukabaki broke, kuingia around kuwabebea mto
saai cheki bro uli cock na ukamiss jooh
Full of jokes weeh si gangster
pull your socks weeh ni mjanja leta dooh twende tu grow
funga dong, pigwa shasha make sure jooh umeuza kioo
suda kanja, kanja bang'a na utaona utauza ki low
stevo alinijalia mathongo juu eti mimi sipendangi madongo, ooh naye akadai ass no more juu ati nili smash nikadoro
nilimshow sifanyangi bila talk unapewa shot na unaenda home
tulikuwa tuna pillar block try by show na watu wakadoz hesabu loss bro lakini kwa mtaa utalost pigwa msumari kwa cross bro ulikuwa unajifanya Jesus the lord hiyo kitu inakuwanga mzito hiyo yako ni simple kwa hivyo ni imboo...
kwa video mko na
Doz chini doz doz chini chini yoh
Boss nini boss boss nini mtakaa chini
Sioni fiti naona dim dim ama naona cream jichoche kwa wigs alafu mtafika keja mkute hamjalipa bills
niko ma steams