- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
NO - Wakadinali
...
Ukitajwa utaitika kwa cortcore
Hearing ya fourth,bro inasemekana ulipiga koto
Siwersydaa aliruka kwa fourth floor,
Hakudedi,alisurvive raia ikampiga mangoto,
Uliingiana kwa mbosho no!
Naskia umekuanga msoto no!
Iyo ni moshi ya Local no!sh sh puff moja no! (x2)
Front row kwa riot walidedi ata before revolution ianze,
Some days to ballot naona MCA ndio amekuja kuresume kazi,
First time in public na amekuja kuwacrash kama ??
Kaa uwezidrip jipange na kaa unaona unaeaza nireach kajikaze
Tuko na maafande pande wanangoja orders from surgent
Gava haiezi gawa mkate kaa uko lucky watakuachia mabakishish
Sai tuko mamzinga mabale nikiongeza hapo ganja kalale
Mavete walizima hapo ngware after wachome mamoshi za foreign
Back then tukianzanga hii mziki ilikua tu DC na sisi
Burden tunamanga na siblings sii ile yenye ulikamilisha kamili
Mtoto amekua mtoro umoroto naskia ameanza kupandisha kamisi
Maisha ya mpini hubidi tukiwanga msoto avoid tu polisi
CHORUS
Lyrics by Tekian_@me always
Follow me