Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2019

Lyrics

Hela - Madee

...

habari zenu jamani na hali ni gani mliopo duniani mna aga,

Ehhh

Leo hatupigani na hatubishani ni nan ni bingwa wa raga,

Ehhh

sikuizi hela inakupa ustar,

v. Ehhh

hivyo ni rahisi kumpinga hata jah,

Ehhh

mwenye hela atakwamisha dar na akitaka hata jela atakaa,

Ehhh

hela imeleta na vita imeua magita ni mradi balaa,

Ehhh

hela imevunja kanisa Leo hakuna misa tunashinda baa,

Ehhh

yule kijana wa home sio star,

Ehhh

anatukana hata waliomzaa,

Ehhh

wivu,tamaa na njaa,

Ehhh

ukiendekeza ka kidole utakaa,raha,



beat

heeeeeeeee---------------------------laaaaaaaaa



hii dunia ni njia na nishapitia na na karibia kusepa,

Ehhh

wengi wanaisifia ila mi naichukia na ni ngumu pia kuikwepa,

Ehhh

basi ninyi watoto someni,

Ehhh

ya kina wema kadinda komeni,

Ehhh

kesho mfike Kule bungeni,

Ehhh

msiendekeze ya mablaza men,

Ehhh

mengi nimepitia nikiwahadithia wengine mtalia sana,

Ehhh

inamengi dunia usipoangalia watakukatisha Tamaa

Ehhh

eti masaki kuna Mungu watu,

Ehhh

nje jongoo kumbe ndani chatu,

Ehhh

hivi nyie darasa la tatu,

Ehhh

mshaisoma hadithi ya kibantu,

Ehhh-------laaaaa


beat


heeeeeeeeeeeee----------------laaaaaaaaaaa



ninyi wadada wa mjini mnauzi chini mnataka nini helaa,

Ehhh

siwezi weka akilini chumvi ni Mimi halafu nikupe helaa,

Ehhh

kama wewe unaact tom boy hata nikushike wapi huchojoi,

Ehhh

hata ufungue hii nati sijoi,

Ehhh

nakula bati kuliko hata toi,

Ehhh


beat


heeeeeeeeeeeee------------laaaaaaaaaaaa



it's time for manzese music baby!








+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status