Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2020

Lyrics

Hip Hop Haiuzi - Madee

...

...... (eheheheheheh)

Yoooo madee

(tiptop baby)

Ukitaka kufanya we jaribu fanya ila sio unafanya kisa madee anafanya..

Wapo walioshine tena kwa njia za panya..

Ndio maana wanajulikana kwamba uwezo hawana

hip hop haiuzi hip hop hailipi..

Hip hop kibongobongo bora muuze pipi..

wachache waliosaliti nawapokonya Mic

Ila wale waliobakia ntawafanya marafiki..

(Verse 1)

Nainua kichwa juu nasubiria kuswali

kwanza kabla ya yote napokea maswali..

(Bongo fleva na hip hop ipi iko juu?)

Okaaay hilo swali mwulizeni Mr blueee!

Kitambo alikuwa anaimba akashine ile kinoma

pia alipenda kutimba kwenye show za dodoma ..

Hip hop haiuzi hip hop hailipi wote wanaoshiriki bora waache wauze pipi..

Ni kweli hawawezi sokoni ndio wameloa

hip hop haiuzi haipendwi tena inaboa .

mziki wenyewe wa kishamba huimbi mpaka ushike paga

Sema hujafanya hivyo hupati pono kama Langa

that's why mpaka Leo mi sijui naimba nini..

huwezi kumfananisha alivyo Joti Mr Bean

tucheki bongo fleva wanadrive tu magari

wenzako kufokafoka tutaonana mwisho wa safari...

Tale alinikataza nisiimbe kama nyinyi

mwisho wa mziki wenu maana yake umaskini .

kwanza hip hop ni uhuni kila siku kupigana mko

wachache hamvumi bado mnaleta uhasama..

kwanza hamna misingi ndio maana mnayumbayumba hamjafika shule ya msingi haki elimu katayumba

mimi ndio msagasumu shati langu halilambwi

nikirap bongo fleva Sema zipi hazibambi!

Chorus

Ukitaka kufanya we jaribu fanya ila sio unafanya kisa madee anafanya

wapo walioshine tena kwa njia za panya ndio wanaojulikana kuwa uwezo hawana

hip hop haiuzi hip hop hailipi hip hop kibongobongo bora muuze pipi wachache waliosaliti nawapokonya mic..

Wale mlobakia ntawafanya marafiki..

(Verse 2)

Nikishindwa RnB naomba zook au taarab..

Ama nabadilika kama inspekta babu

uvumilivu ulimshinda mpaka Albert Mangwear akachange she got a gwan kidogo akasongea

hip hop sio bongo chege akasema America

mwendo wa bongo fleva kama wa ragga na Jamaica

nyie wa mikoani ndio mnaleta mziki huo, sie kibongobongo tunaona mizenguo.

Hip hop Ina nguzo bongo hamziwezi kwanza mavazi yenu mtaani mnaonekana wezi

nyimbo inawachoma inawachoma kama miiba najua Kuna wengine mtavizia kunipiga

ila hamziwezi na sheria za kikwete mkinizingua sana mi ntawafanya viwete

si ulimgeuza masta mwenzio Sasa anaimba swala nabadilika fasta tua mzigo wa ujinga

hip hop haiuzi mwulize hata mamu Kuna tape za fulani dukani kama sanamu

Kuna walinifanya ngazi wakafika juu..

Bongo walininyanyasa ila mi mbishi tu..

Ukikaa sana chini ya mti ndege watakunyea

mimi mtoto wa manzese kama fujo nshazoea..

Hip hop haifai bongo haina maslahi nafananisha na mke mzuri lakini bado hazai..

CHORUS..

(Bridge)

Yoyoyo hii ni St. Madee University

Manzese (manzese) (Tf) Ahaaa Tanzania Bongo fleva fitina (fitinax2) we back niggaz..

We back nigaazz..

Ni mambo ya tiptop connection (tiptop baby) ..au vipi Pajero..Rojer..

ahaaa..

Show me sharooo..

Forever... (forever) Forever everrrr..

UD put your hands in the air

Mikono juu (put your hands in the air)

I say mikono juu (put your hands in the air?)

I say mikono juu (put your hands in the air)

Yoooooooo...

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status