Sinsima ft. Saraphina Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Sinsima ft. Saraphina - Chege
...
sinsima kukuache wazima sinsima kwetu Leo ni bungoma bazuuuu aaaaaaeeeee aaaaaah masharibi umesema unakuja Mbnh muda unakwendaa na staki kukosa ndo tuweke vitu itakua wao washikaji washafika hawa wakonde wanakonda kila kitu ushalipa pombe nyama chumbaa yeee sio kama natambaa sio kama natambaa sio kama naaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaeeeeee aaaaaah masharibi je unachotaka unakunywa je unachotaka unakunywa ooooooh far away mwenzangu nko njiani uache haraka akupa napambana na foleni nguza panda shuka nlivyo jipodoa ooooh bodo bodo bodo hawa watakodoa ooooh Kodo Kodo Kodo Kisha Toka kabisa hapa kwenye mataa natamani kupaa Nije nkubambe beiby sio Kama nadandaa sio Kama nadandaa sio kama nadaaaaaaaa