Burudani Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Burudani - Chege
...
Vita vya mziki ni vikubwa ila ni vyepesi
Endapo tutaujenga umoja vitashinda kesi
Uzuri wa kutompenda sio sawa, sio sawa
Bendera ya kutompenda sura sio sawa, sio sawa
Teteeni brand zenyu zisishuke
Ukiwa juu walo chini wakumbukeni
Nyimbo zenyu zisimame kwenye top 10
Yote sawa
Natamani Diamond asishuke
Atetee walo chini wasichoke
Natamani Alikiba azidi ng'aa
Nyota yake isimame kishujaa
Team Kiba wampost Mondi
Team Mondi wamposti Kiba
Konde Gang wampost Mondi
Kiba wampost jeshi
Tuchanganye majina (Sawa)
Wote tukapate kadina (Sawa)
Tushare safina (Sawa)
Mradi tunapata burudani
Tuchanganye majina (Sawa)
Wote tukapate kadina (Sawa)
Tushare safina (Sawa)
Mradi tunapata burudani
Napiga magoti naomba
Kesho wasipotee Temba
Yametimia mengi tuliopanga
Na bado tunapambana
Itakuwa sio ssawa nikimuona Dogo Janja
Ametoka MMB,sio sawa sio poa kwa Madee
Mziki wanabaga presenters
Utafauti haina haja ya kuleta
Haina haja ya iuchanana mikeka
Mtafanya wasanii tutateseka
Natamani vunja bei wasishuke
Iliusha siku wasiindoka
Natamani Aslay azidi ng'aa
Nyita yake isimame kushujaa
Shishi gang wampost Snura
Team Snura wampost Shishi
Manfongo wampost Sholo
Team Sholo wampost Fongo
Tuchanganye majina (Sawa)
Wote tukapate kadina (Sawa)
Tushare safina (Sawa)
Mradi tunapata burudani
Tuchanganye majina (Sawa)
Wote tukapate kadina (Sawa)
Tushare safina (Sawa)
Mradi tunapata burudani
Ooh,mchaka mchaka
Tuungane pamoja,mchaka mchaka
Mbwana Samatta,mchaka mchaka
Mwakinyo,mchaka mchaka
Ooh ma Djs,mchaka mchaka
Ooh Bongo tuna amani tu
Hakuna wanjanja,hakuna wanjanja
Hakuna wanjanja,hakuna wanjanja
Hakuna wanjanja,hakuna wanjanja
Hakuna wanjanja,hakuna wanjanja