Shobo ft. Mavokali Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
Lyrics
Shobo ft. Mavokali - Mr Lg
...
Shobo Lyrics
Mavokali
Album New school
Mr Lg
Sikuizi hata kupenda tena mii naogopa
Yasije yakanikuta mi kajuta nikakonda mi doro
Maumivu yameweka nukta sio sawa yangu
Kwa yale yalo nikuta
Mapenzi ya nini mi yasha nikataa
Nishapenda sana nikaogopanga
yashanitia uchovu nikaweka nanga
Ndio maana mie sitaki shobo (shobo)
Sitaki shobo
Ndio maana mie sitaki shobo
Mwenzenu mie sitaki shobo na mapenzi
Jamani mie sitaki shobo
Ndio maana mie sitaki shobo (shobo)
Sitaki shobo
Nilipenda vimbonge wembamba
Nikapokonywa na tonge peupe mchana
Nikamezanga vidonge vikakwama
Nikataka nikaroge kwa waganga
Mapenzi ya nini mi yasha nikataa
Nishapenda sana nikaogopanga
yashanitia uchovu nikaweka nanga
Ndio maana mie sitaki shobo (shobo)
Sitaki shobo
Ndio maana mie sitaki shobo
Mwenzenu mie sitaki shobo na mapenzi
Jamani mie sitaki shobo
Ndio maana mie sitaki shobo (shobo)
Sitaki shobo
Shobo
Sitaki Shobo
Shobo
Sitaki shobo
Lyrics by Lexander Peter