Nisamehe ft. Dayoo Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
Lyrics
Nisamehe ft. Dayoo - Mr Lg
...
DAYOO TZ-Nisamehe
Yooh ah naitwa maangi yani chaaga tena lah. Iyeeeee
Beat………….. mr LG…
Kutenda kosa sio kosa ,
nimekosa kurudia kosa la Nakiri nimekosa baby……….ah……
Imani yako kwangu nimekosa
Nilichofata nimekosa lah…..
Ntajuta kukukosa baby mhhhhhhh
Tena chini ya ulimi umeka
Jina lako halinikauki kinywaani oh lanifaa
Fanya hima basi urudi nyumbai
Oooh baby nisamehe x5
Nisamehe x2 nisameeeeeeeeeeee
………………………………beat…………………………………….
Amhhhhhhhhhh
Kabla jua halijazaama, huji hata kunitazaama
Nikizidisha kulalama itakua lana ooooooh
Kimetanda kiza wingu
Chembechembe zenye wivu
Amani sina hata utulivu. Me
Tena chini yaulimi umekaa
Jina lako halinikauki kinywaani oh lanifa
Fanya hima basi urudi nyumbaaaani
Ooooh baby nisameheee x6
……….nisamehe…….nisameheee………
…….. The MIXING KILEER……..
……………………………..beat…………………………………..