Bombaa Remix ft. Nadia Mukami Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Bombaa Remix ft. Nadia Mukami - Kayumba
...
Nadia
he is another one
touch
bomba bomba iyo
bomba
yake nyama bila mfupa mie nameza
akinipa sita sita mie nitaweza
akipandisha na mori nalegeza
haya mapenzi kayumba umekoleza
chuchumaa unibonde unipe mayo
uniteke mimi toto la nairobi
kaja na makonde waone choyo
insta tuwatukomeshe kwa yetu kiki
hata akifumania poa tu (poa tu)
hata nikule fea poa tu (poa tu)
mi nang'ang'ania poa tu (poa tu)
ndo nishajifia poa tu (poa tu)
chuma kwa chuma namwaga cheche (poa tu)
mwenzenu napewa weka tuweke (poa tu)
nikimwona napanda kidete (poa tu)
uwo uwo uwooo (poa tu)
Hey natamani nikatongoze mara ya pili hapo vipi
bomba bomba iye
anitilie limbwata akologe akili hapo vipi
bomba bomba iye
eeh hapo vipi
bomba bomba ee
iko vipi
bomba bomba ee
eeh bwana vipi
bomba bomba ee
iko vipi
bomba bomba ee
ai sheri baby mama sheri oh
anipa kazi moto mwinyi kazi oh
eh ndani joto sitaki feni oh
aninogesha na vyake vilioo
mapenzi hayana nunda
uchebe kawa wa igunga (uchebe kawa wa igunga)
penzi pepo la kimbunga
likichanganywa na ndumba eeeh
ata nikifumania poa tu (poa tu)
waseme nina mwandafia poa tu (poa tu)
mi nang'ang'ania poa tu (poa tu)
ndio nishajifia poa tu (poa tu)
chuma kwa chuma namwaga cheche (poa tu)
mwenzenu napewa weka tuweke (poa tu)
mi nikimwona napata kidete (poa tu)
uwo uwo uwooo
natamani nikatongoze mara ya pili hapo vipi
bomba bomba iyo
anitilie limbwata akologe akili hapo vipi
bomba bomba iyo
eh hapo vipi
bomba bomba ee
ipo vipi
bomba bomba ee
eh bwana vipi
bomba bomba ee
ipo vipi
bomba bomba ee
bomba bomba ee