Move On ft. Sharara Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Move On ft. Sharara - Kayumba
...
mmh ooh lala lalaaa
baibai ndio neno langu
nimekuswafiaaaa
kuondoka ndo nusura yanguu
kuliko kuyakumbatia
sababu nakupendaaa unajua
siwezi fanya tofautii
naona nguo zishakauka anua
nimeridhika na kibuti ii
penzi furaha penzi jeraha
usijekuta umauti ii
naona nguo zishakauka anua
nimeridhika na kibuti ii