Rhumba Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Rhumba - Wanavokali
...
hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana,usiogope nope macho yako hana kwa hana ×2
ngoma zalia nami nataka kucheza
kushakutwa nisha zoea kesha
sakata rumba achilia pressure
hatujui kama tutaonana tena
nakupenda unavyo ngaa kama taa
hapa wendo star
u gat me feeling things that I can't explain