Rhumba Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Rhumba - Wanavokali
...
__INTRO
My Love, i want you
My Love, i need you
Everytime, i see you x 2
eeeyy eeyy...
__VERSE 1
Naomba nafasi mi nicheze nawe,
Njoo karibu usinicheki toka mbali,
Hatujuani but tonight you could be my bae,
Songa nami,
Hii fom imekubali
-BRIDGE
Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana,
Usiogope nipe macho yako
ana kwa ana x 2
...
__CHORUS
Ngoma zalia nami nataka kucheza,
Kucha kutwa, nishazoea kesha,
Sakata RHUMBA, achilia pressure,
Tutacheza hata kama hatuna pesa
Ngoma zalia nami nataka kucheza,
Kucha kutwa, nishazoea kesha,
Sakata RHUMBA, achilia pressure,
Hatujui kama tutaonana tena.
eeey eey...
__VERSE 2
Napenda unavyong'aa kama taa hapa wee ndio star,
You gat me feeling things that i can't explain,
Tuvitu,
Mavitu,
I think am falling for you just alittle.
-BRIDGE
Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana,
Usiogope nipe macho yako
ana kwa ana x 2
__CHORUS
Ngoma zalia nami nataka kucheza,
Kucha kutwa, nishazoea kesha,
Sakata RHUMBA, achilia pressure,
Tutacheza hata kama hatuna pesa
Ngoma zalia nami nataka kucheza,
Kucha kutwa, nishazoea kesha,
Sakata RHUMBA, achilia pressure,
Hatujui kama tutaonana tena.
__OUTRO
Kunja mifupa,
Kaza mpishi na tuzikwende,
Tukizunguka,
Kaende kaende
Teremuka,
Kata kiuno jionyeshe,
Inuka inuka.
eeyy eyy..
__CHORUS
Ngoma zalia nami nataka kucheza,
Kucha kutwa, nishazoea kesha,
Sakata RHUMBA, achilia pressure,
Tutacheza hata kama hatuna pesa
Ngoma zalia nami nataka kucheza,
Kucha kutwa, nishazoea kesha,
Sakata RHUMBA, achilia pressure,
Hatujui kama tutaonana tena.
The END