Pumzi ft. Young Lunya Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Pumzi ft. Young Lunya - Jimmy Chansa
...
chozi lanishuka
najipoza kwa vinyoo
mahaba nishayasusa
uko mimi simooo, maana
hai ulishanizika ukanichimbia na shimoo
nikate pumzi nitoke duniani
mautamu na utamuu
mautamuu ya hamuu
ila mwisho ni uadui na sijui
embu niambiee mhh
tulivyopangaa ikasandaa nitulieee
ukagangaa na kudangaa
niambie mamaa pengine (pengine) nitulieee
bwana na uaduiii
hukushiba na makopaa wewee
japo vingi vyanichocha nilewee
ukionywa unafokaa ila wewee
yako kali sumu ya nyooka
oohoo mai
yeeh
manake mimi nikupenda wewe zaidi
sikuwahi hata kucheat niliyotenda Mungu shahid
tunda nimelipokoa mwenyewe shamba la bibi
wajanja wakanizidi
kukuacha sikutaka ila imenibidi
fahamu kua siwezi kula wali mkavu
mgagana upwa
mwili umenikongoroka
imebakia mifupa, yeah
taja ulichokitamani nikakataa kukupa
huko kwa wahuni utatumika sana
ukichakaa unatupwa
nakuona tu nikubwagie manyanga
kipi cha kung'ang'ania
pisi yenyewe majanga
nikienda kazini geto unaniletea waganga
ili nisiwe na neno ukiniaga kuelekea kudanga
vingi nilikupa funguo za mkoko
vinguo vya mtoko
kila wiki vizawadi mahaba motomoto
ukipika napenda
hata ulivyotoa bokoboko
ila kukuua dawa ya moto(moto)
utazikwa na moto wa msoto
ebu niambiee mhh
tulivyopangaa ikasandaa nitulieee
ukagangaa na kudangaa niambie mamaa
pengine ( pengine) nitulieee bwanaa na uaduiii
hukushiba na makopaa wewee
japo vingi vyanichocha nilewee
ukionywa unafokaa ila wewee
yako kali sumu nyooka
yaani wewee
yaani wewee
yaani wewee
yaani wewee
ebu niambiee