Hivi Na Hivo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Hivi Na Hivo - Maandy
...
yooh aaah kabaya
siezi tupa rada naipeleka hivi na hivo
kila kitu speedy na simple,hivi na hivo
kuwakunywa bila mariñgo
naipeleka hivi na hivo,aaah
hivi na hivo(3)
aaah ,Nina vitu mbili nadai tuongelee,
tangu Bei ipande sijali gather
Nina shida zangu usiniongezee,dishi Sio yako ushaanza amen
nilikuwa nimesota ,nilikuwa na plan,tukibuy mambwakni na surwa ya tenz
hii Ni nyama kilo imeekwa kayen
si mi hupita nao..hivi na hivo
chini ikienda hivi..lazima irudi hivo
figa Coca-Cola aa..katoto karembo