Maringo ft. Mimi Mars Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Maringo ft. Mimi Mars - Mwasiti
...
Uzuri sio sura dada ooh
wala uzuri sio shape yako
mwanamke ,mwanamke kaubwa na haya
mwanamke kuwa na stara
mambo wakiambulia eeh
shule hutaki sikia eeh
kutwa kwenye technologia eeh
hutaki ushauri tena wadai umekuwa eeh
na mama alikufunda aah
binti Maringo nenda pole pole
usijifanye wewe bingwa wa mapenzi
dunia ni shule itakufundisha
ooh ooh.
çhorus
Maringo, binti Maringo
tena ujitunze daima x2
Dunia haikupi nafasi mara mbili
aah dada bule
shunga dada, usilambe shubili
aah dada bule
walimwengu watakusifia kesho watakushusha
aah dada bule
ooh dada dunia haikusubiri
aah dada vile
Shunga roho, ooh roho
yako roho isiwe na tamaa
washa kupa mapoloso, uanzie madoido
ooh madoido,yata kuumbua dada
dunia ni Poli, irusi mingi itakupoteza
kwa sifa na stori, wacha kujaza ujae ooh
na mama alikufunda, binti Maringo nenda pole pole
usijifanye wewe bingwa wa mapenzi, dunia ni shule itakufundisha aah.
Çhorus
........
composer
Emmanuel wangui