Mapenzi Ugonjwa ft. Baraka Da Prince Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Mapenzi Ugonjwa ft. Baraka Da Prince - Mwasiti
...
heiye hiiiii heeeeh
nikuamini tena nikuthamini
kwa mapenzi,nishakoma mimi
moyo wangu kwako wewe
eti niudhamini
siwezi kusahau,mateso yazamani
ooooh moyooooo
niliwakabidhi wengi wakanitaperiiii
hisia zangu mimi,ndo sababu natokwa choziiiii
ikawaaaa,mwisho wa kutesa nafsi
nikajutia na yangu maamuziiiii
hofu ya kupendwa ,mapenzi ugonjwaaa eeeh
ngumu kugunduaa,nani anifaeeeeeeh
spread true lovee,true love true love true love
lakin wangu moyo,moyo moyo wangu moyooooo
kilicho ndani ya moyoo,ni viguumu mtu kukijuaa
hata kama unaumiaaa ,hata uooona
unapopuziwaa upendooo,atawaza mengi sana
kinywaa hukosa maneno oooo,mara hii mapenzi yanachanganyaa
yote niliona vichungu hasa pale nilipoendwaaa
nilikumbuka machungu na usingizi ukanitenda
wapooo moyo wangu niliowakabidhiiii
wengi wakanitaperiii
hisia zangu mimi,
ndo sababu hata natokwa choziiiii
nikajutiaaaaaaaaaaaaaaaaa
kwa yangu maaamuziii
hofu ya kupendwa ,mapenzi ugonjwaaa eeeh
ngumu kugunduaa,nani anifaeeeeeeh
spread true lovee,true love true love true love
lakin wangu moyo,moyo moyo wangu moyooooo
lakini moyooooo,unashindana na nafsiiii
unasema yeeeea unasema nooooo
sielewwiiii
lakini moyooooo(lakini moyooooo),unashindana na nafsiiii
unasema nooooo unasema yeeeeees
sielewwiiiiiiiiiiii hiiiii
hofu ya kupendwa ,mapenzi ugonjwaaa eeeh
ngumu kugunduaa,nani anifaeeeeeeh
spread true lovee,true love true love true love
lakin wangu moyo,moyo moyo wangu moyooooo
wanguuuu moyoooo