Usinijaribu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Usinijaribu - Wini (Tz)
...
Chozi la furaha mpaka nashangaa linantoka
Duku duku kifuani lilonisumbua mimi linantoka
Kwani hisia ziliniumizaa kwenye moyo wanguu
Nabaki nalia nalia oa oa
Mchana niliona kiza ee mola wanguu
Mapenzi balaa owa owa owa
Nilipiga magoti nikaota sugu kwenye miguu
Kubebembeleza mapenzii
Nikamuonga onga nikatoa pesa kwenye vibubu
Ninakopenda sipendwii
Nishaumwa na nyoka mwenzako naogopa majani
Nisije nikakupa moyo wangu ukaeka rehani
Usinijaribuu
Danganya toto sitaki
Usinijari ii usinijaribu
Usinijaribuu
Danganya toto sitaki
Usinijari ii usinijaribuu
Husinipeti peti nikazama mazimaa
Nikashindwa kutoka
Mwisho ukaniacha nalia
Husinidanganye
husinichanganyee
Unifanye kilema wa penzi magogo uyashike wee
Nijibane bane furaha upate wee
Unifanye ka fisi mifupa mi nyama unakula wee
Nilipiga magoti nikaota sugu kwenye miguu
Kubebembeleza mapenzii
Nikamuonga onga nikatoa pesa kwenye vibubu
Ninakopenda sipendwii
Nishaumwa na nyoka mwenzako naogopa majani
Nisije nikakupa moyo wangu ukaeka rehani
Usinijaribuu
Danganya toto sitaki
Usinijari ii usinijaribu
Usinijaribuu
Danganya toto sitaki
Usinijari ii usinijaribuu