Umenishika ft. Masauti Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Umenishika ft. Masauti - Wini (Tz)
...
Kama mapenzi Tiba basi kwako nimepona,
Kama mapenzi hasara basi kwako faida sijaiona,
Kama mapenzi hesabu basi kwako nimefeli
Hakika kwako mi zuzu eh eh
(umenishika Shina)
baby unani control umeniteka umeni overdose yeah yeah
tukiwa kwenye shoo, wanivuruga kabisa Kama chizi
oh baby unanicontrol na vile ukinitazama kiuchokozi
unanituliza fujo nakua mpole
unanimaliza baby, umenishika shika
Sina wa kumpa maana ushanichanganya, unanishika shika
na moyo wangu uko nyang'a nyang'a
umenishika shika
usije ukanikimbia ukaniacha vumbi
umenishika shika
tekenya tekenya tekenya tekenya tekenya
tekenya tekenya tekenya tekenya tekenya
hii pongezi ziende kwa mganga aliekufanya uniteke teke ehh ehh
umeniuwa kwa uganga tena ukanipiga na mateke
hii umenifunga minyororo na kwako sipumui
umenifunga kabisa mdomo na kwako siongei
baby umenicontrol umeniteka umeni overdose yeah yeah
tukiwa kwenye shoo wanivuruga kabisa Kama chizi
baby unanicontrol na vile ukinitazama kichokozi
unanituliza fujo mi nawa mpole anhaaa
unanimaliza baby , umenishika shika (shika aaah)
sina wa kumpa maana ushanichanganya
umenishika Shika (shika baby)
moyo wangu uko nyang'a Nyang'a nyang'a ehhhhh
umenishika shika (shika ohhhh)
usije ukanikimbia ukaniacha vumbi
umenishika shika
tekenya tekenya tekenya tekenya tekenya tekenya
tekenya tekenya tekenya tekenya tekenya tekenya
Nitakupa penzi la kikenya tekenya