Anaolewa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Anaolewa - Kassam (TZ)
...
anaolewa ana anaolewa ana anaolewa ana anaolewa×2
ile imani nilojaza kwko leo ndo yaniumiza nn nmekosa n upole uu mahayayaya
kw mapenzi nlonayo nkakupa cheo cha mahabuba bora ningefuga mbuzi ningekunywa ta supuuu ........
cwez mlaumu pengine sifai kuwa mume
maisha magumu ukaona ntakuhifadhi wpi ama nguvu za kiume sina hufiki unapotakati umenikana mtume ntahubiria wpi
yale mazoea yananipa tabu nlikuzoea m ndo napata tabu mawazo nliyojijengea umenikata bawabu mema nliyokufanyia ntalipwa thawabu
anaolewa ana anaolewa ana anaolewa ana anaolewa×2
nini tatizo ama kila siku kukwambia ngoja ngoja ikakuumiza tumbo amaaa ninini ama chakula cha utumbo miguu ya kuku vichwa tandale kw tumbo amaaa mbona ulisema ushaanza zoea tule tusile umejitolea kuwa mm kwko nimeigawa yko wpi
yale mazoea yananipa tabu nlikuzoea m ndo napata tabu mawazo nliyojijengea umenikata bawabu mema nliyokufanyia ntalipwa thawabu
aaaaanaolewa ana anaolewa ana anaolewa ana anaolewa
kaniacha ety leo anaoleeewa ana olewa ana olewa ana olewa
na tyr kavishwa shada aaaaaaa anaolewa anaolewa ana anaolewa ana anaolewa ana anaolewa kaniacha nko peke yng anaolewa ana anolewa