Umepuyanga Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Umepuyanga - Kassam (TZ)
...
yeah ulichana kitabu
ukaniacha na kasha tupu
tupu sababu hukuandika hata jina langu
ama pochi langu bubu
sibadili hata dau
dau la juu juu nipambane na hali yangu
umepandisha zao lako shambani hakuna hesabu ehhh
wanionea wanionea wewe
nibadili dini yangu yahusiana nini na watu ehh
wanionea wanionea wewe
umenikana nahisi bila sababu ehh
ama elimu na dini ndiyo sababu ehh
mama mkwe hanitaki ama ndiyo taabu
umetimiza suna faradhi kwako ndo ajabu
umepuyanga
puyanga ahhhh
umepuyanga
puyanga ahhhh
nishakuwa manamba wa penzi lako
n’kiamini siku nitakuja kuwa mtemi
miba kwa road yako
nachomwa naugulia kupita sikomi
taswira ya uzuri wako
kumbukumbu ipo karakana ya machoni ehh
mawazo najikaza ehh
wazidi kuninanga ehh
bize wajifanya ehh
kwahiyo mwenzangu hunioni ehh
kama hunijali basi niambie ehh
mabaki nikayatupe chooni
na kama kiatu ndo nikuvue ehhh
maana sielewi ahhhh
umenikana nahisi bila sababu ehh
ama elimu na dini ndiyo sababu ehh
mama mkwe hanitaki ama ndiyo taabu
umetimiza suna faradhi kwako ndo ajabu
umepuyanga
puyanga ahhhh
umepuyanga
puyanga ahhhh
Lyrics by Steven Godfrey