Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2021

Lyrics

Tuonane - Moses Simkoko

...

Tuonane milele tuonane bandarini kule *2


Maamuzi ya mungu ni magumu kupokea

Ili nalo ni gumu japo tumelipokea

Lakini hata hivyo utabaki kuwa mungu

Utabaki utabaki kuwa mungu*2



Ni wewe mwenye mungu uliye umba

Ukaruhusu atutoke mpedwa wetu ooooh bwana

Jina lako litukuzwe libarikiwe milele milele eeeeh twakushukuru kwa yote


Kwa mfano bora mazuri umeyafanya

Pia umetuonyesha baba oooooh

Japo machozi yatililika eeeeeh

Tujikaze tujikaze hii njia ya kila mmoja


Tuonane milele

Tuonane bandarini kule

Tuonane milele

Tuonane bandarini kule. *** 2

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status