Nyamazeni Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2007
Lyrics
Nyamazeni - KMK MAKUBURI
...
eh eh nyamazeni sasa mkae kimya(nyama)
nyamazeni (nyamazeni)sasa mkae kimya
eh eh nyamazeni sasa mkae kimya (nyamazeni) nyamazeni sasa mkae kimya
(nendeni) mkajifunze upendo nenda.
kapunguzeni maneno mengi (tena)
acheni ufarisayo kando. (kisha )mkajifunze upendo nenda
kulitaja taja jina la yesu Na
kutolitaja taja kabisa yote ni sawa kabisa
(mmh mhhh)
lililo la muhimu upendo
huvumilia yote upendo
huamini yote upendo
hutumaini yote upendo.
chorus
kusudi watu waasi watambue kwa yale mnayosema
(kwa yale maneno) (bali) kwa matendo tu
kwa kuwathamini na kuwajali wenzenu
daima kwa kuwathamini na kuwajali wenzenu
daima kwa kuwakumbuka wale walio wadogo na wanyonge
kuwakumbuka wale walio wadogo na...
eh eh upendo eh eh upendo eh eh upendo eh upendo
chorus